Jiwe lenye kuleta mionekano tofauti kama ilivooneshwa kwenye picha hapo kuna vipande vyenye ukubwa wa 13cm kwa 40cm lakini pia kuna vipande vidogo vinavyooneka kuzama kwa ndani vyenye urefu wa 13cm kwa 7.5cm
FAIDA
Faida za jiwe hili kwanza Linazuia ukuta usiliwe na fangasi hususani kwanye msingi
Lakini Pili ni Urembo asilia ambao utafanya nyumba iwe na muonekano mpya tofauti na wa pekee kutokana na design nyingi ambazo tunaziweka
This site was designed with Websites.co.in - Website Builder
We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!
Have a great day!
Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support