"Houses Cladding Stones" Updates

Miamba mawe

Jiwe lenye kuleta mionekano tofauti kama ilivooneshwa kwenye picha hapo kuna vipande vyenye ukubwa wa 13cm kwa 40cm lakini pia kuna vipande vidogo vinavyooneka kuzama kwa ndani vyenye urefu wa 13cm kwa 7.5cm FAIDA Faida za jiwe hili kwanza Linazuia ukuta usiliwe na fangasi hususani kwanye msingiĀ  Lakini Pili ni Urembo asilia ambao utafanya nyumba iwe na muonekano mpya tofauti na wa pekee kutokana na design nyingi ambazo tunaziweka

Welcome to Sakawa Decorations

This is Sakawa Decorations website created by MESHACK SAKAWA. Sakawa Decorations falls in HOME FURNISHINGS line of business. You can visit us offline at our office located at : B129, Dodoma, Dodoma, Tanzania - Meshack Sakawa You can contact us by phone - *********3822 or email us on m**************@g*****.com or use the Contact Form. Thi...

Urembo

Wauzaji na mafundi wabobozi wa kuweka urembo wa majumbani wa kisasa, tunatumia mawe asilia marufu kama tangastones, rock brocks ama miamba mawe pamoja na vitoari vidogo vya urembo(bricks) Tunajenga kila design au aina ya muonekano (pattern) unayohitaji na tunakufikia mahali ulipo kwa gharama nafuu

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support